News · New project ·

"Yams" - Hautateseka tena kusimamia Shuhuli yoyote katika Shule yako.

Kutana na Mfumo mpya wa kusimamia Shuhuli zote za shule yako 1. Lesson Planning 2. Scheme of Work 3. Durties 4. Resources and So On...

"Yams" - Hautateseka tena kusimamia Shuhuli yoyote katika Shule yako.

Mfumo Huu unatoa nafasi kwa taasisi zote za kielimu(shule na Vyuo) kupata njia rahisi ya kusimamia Shuhuli zao za kielimu na pamoja na resources.

Karibu sana RynexNative ujipatie Kila kitu kwa haraka.
Tuna toa Ofa kwa shule 50 za mwazo zitakazo jisajili mapema.