Events · Meetup · TZS 100,000

CYBER SECURITY TONAMENT

Mashindano ya cyber security mkoani dodoma Kutana na vijana wa kiafrika wenye uwezo na ujuzi wakufanya mambo makubwa. Kutana na wataalamu mbali mbali watakao kuwezasha kujua na kutambua mbunu tofauti tofauti za kujilinda na mashambulizi ya mtandao

4 October 2026 · Mwatano Center Dodoma · Online

Tunapenda kuwajulisha uwepo wa tukio kubwa la kihistoria